NIJUZE NIJUZE Author
Title: UPDATES:: MATOKEO RASMI YA NAFASI YA URAIS YALIYOTOLEWA MUDA MFUPI ULIOPITA NA PROFESA JAY ASHINDA MIKUMI
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Joseph Haule (Mbunge mteule Jimbo La Mikumi) MATOKEO HAYA NI KWANUJIBU WA AKAUNTI YA UCHAGUZI MKUU YA TWITTER Matokeo ya Urais, M...
Joseph Haule
Joseph Haule (Mbunge mteule Jimbo La Mikumi)

MATOKEO HAYA NI KWANUJIBU WA AKAUNTI YA UCHAGUZI MKUU YA TWITTER

Matokeo ya Urais, Magomeni(Zanzibar) Kura: 9,772 
@MagufuliJP (CCM):5,716 
@edwardlowassatz (Chadema):3,711

Jimbo la Mafia Kura: 21,507 
@MagufuliJP (CCM):11,153 
@edwardlowassatz (Chadema): 9,363

Nachingwea Kura: 81,231 
@MagufuliJP (CCM): 46,485 
@edwardlowassatz (Chadema): 30,252

Mwanakwerekwe Kura: 9,216 
@MagufuliJP (CCM): 4,206 
@edwardlowassatz (Chadema):4,606
Jimbo la Mkuranga Kura: 84483 
@MagufuliJP (CCM):45710 
@edwardlowassatz (Chadema):36478

Kibaha Vijijini Kura:33,228 
@MagufuliJP (CCM):20,805 

@edwardlowassatz (Chadema):11,344
Biharamulo Kura: 74,756 

@MagufuliJP (CCM): 44,943 
@edwardlowassatz (Chadema): 28,576

Arusha Mjini Kura: 221,350 
@MagufuliJP (CCM):65,107 
@edwardlowassatz (Chadema):150,786

Nkasi Kusini Kura: 36,353
@MagufuliJP (CCM): 21,572 
@edwardlowassatz (Chadema): 13,550

Nkasi Kaskazini Kura:47,400 
@MagufuliJP (CCM): 25,837 
@edwardlowassatz (Chadema): 19,891


Jimbo la Tunguu Kura: 11,934




Mkasi Kusini Kura: 36,353 
@MagufuliJP (CCM): 21,572
@edwardlowassatz (Chadema): 13,550

Jimbo la Mtama Kura: 51,903 
@MagufuliJP (CCM): 29,625 
@edwardlowassatz (Chadema): 20,841

Jimbo la Chakechake Kura: 6,797 
@MagufuliJP (CCM): 1,253 
@edwardlowassatz (Chadema):5,209

Jimbo la Chwaka Kura: 8,777 
@MagufuliJP (CCM): 6,537 
@edwardlowassatz (Chadema): 1,864

Jimbo la Nungwi Kura: 9,729
@MagufuliJP (CCM): 4,135
@edwardlowassatz (Chadema): 4,854

Jimbo la Nkenge Kura: 70,891 
@MagufuliJP (CCM): 42,568 
@edwardlowassatz (Chadema): 25,840

Jimbo la Amani Kura: 7,809 
@MagufuliJP (CCM): 4,322 
@edwardlowassatz (Chadema):3,157

Jimbo la Bumbwini Kura: 5,766 
@MagufuliJP (CCM): 2,503 
@edwardlowassatz (Chadema): 2,822

Jimbo la Uzini Kura: 8,777
@MagufuliJP (CCM): 6,537
@edwardlowassatz (Chadema): 1,864


Jimbo la Mwera Kura: 12,963
@MagufuliJP (CCM): 6,430
@edwardlowassatz (Chadema): 5,865

Jimbo la Mchinga Kura: 27,434
@MagufuliJP (CCM): 13,948 
@edwardlowassatz (Chadema):12,936

Mpanda Vijijini Kura: 52,529 
@MagufuliJP (CCM): 37321
@edwardlowassatz (Chadema): 12,791

Jimbo la Mkwajuni Kura: 10,253
@MagufuliJP (CCM): 6,317 
@edwardlowassatz (Chadema): 3,669


WABUNGE WALIOTANGAZWA KUWA WASHINDI NI
Joseph Haule (Chadema) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Mikumi.

Omar Ahmed Badwel (CCM) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Bahi.

Gibson Mesiyeki (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Arumeru Magharibi.

January Makamba ( CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Bumbuli.

About Author

Advertisement

 
Top