Shamsaford
Huyu ni Msanii aliekerwa na Kitendo hicho na katika kuoneshwa kutofurahishwa na Jambo hilo ameweza kuandika Maneno haya kupitia Akaunti yake ya Instagram
"shamsaford Inasikitisha Sanaa kuona baadhi ya wasanii wakiwatukana baadhi ya viongozi wa siasa bila hata uoga..Mpaka mtu unajiuliza huyu anayetukana hivi ana wazazi au watu wazima ambao anatakiwa awaheshimu. ? Ukiacha ushabiki wa kisiasa but unayemtukana anaweza kukuzaa kabisaa.Hao mnaowatukana wana watoto wakubwa zaidi yako hivi tukija kibinadamu unadhani watoto wake wanajisikiaje? Mfano mzazi wako anatukanwa hivyo utajisikiaje? Aiseee nimesikitika sana. ..kumbukeni kuna maisha baada ya uchaguzi na siku zote maisha hayatabiliki. Hebu kuweni na AIBU kidogo ......MUNGU IBARIKI NCHI YETU NA WATANZANIA WOTE.."