BREAKING NEWS:: MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAFUTWA

Lindiyetu Blog news

Habari zilizotufikia Hivi punde zinahabarisha kwamba Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imefuta Matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar na Kutoa sababu kuwa Haukuwa wa Uhuru na wa Haki.
Previous Post Next Post