BREAKING NEWS:: CHAMA CHA MAPINDUZI KUPINGA MATOKEO YA MAJIMBO HAYA MAHAKAMANI

Kupitia Akauti ya Twitter ya Chama cha Mapinduzi imetangaza azmayake ya Kupinga Matokeo ya Sehemu zifuatazo:- Mikumi, Iringa Mjini, Ndanda na Kawe.

Chama hicho kimesema kitaenda Mahakamani kupinga matokeo hayo, na hichi ndicho walichokiandika:-

Previous Post Next Post