NIJUZE NIJUZE Author
Title: UPDATES UCHAGUZI:: HAWA NDIO WAGOMBEA WATEULE WALIOTANGAZWA JIONI HII YA LEO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
MATOKEO YAENDELEA KUTOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI William Ole Nasha (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo ...
MATOKEO YAENDELEA KUTOLEWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

William Ole Nasha (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Ngorongoro.

Gerson Lwenge (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Wanging’ombe.



Norman Sigalla (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Makete.

Jitu Soni (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Babati Vijijini

Dkt. Hamis Kigwangala (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Nzega Vijijini.

Hussein Mohamed Bashe ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Nzega Mjini.

Margareth Samwel Sita (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo Urambo.

Jumaa Aweso (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Pangani.

Mary Nagu (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Hanang.

Hassan Kaunje (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Lindi Mjini.

Abdul-Aziz Mohamed Abood (CCM) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Morogoro Mjini.

John Mnyika (Chadema) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kibamba.

Abdallah Mtolea (CUF) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Temeke.

Halima Mdee (Chadema) ameshinda na kutangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kawe.

Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) inaendelea na zoezi la kutangaza matokeo ya Urais wa serikali ya Mapinduzi muda huu...

Matokeo ya ubunge Morogoro mpaka sasa @ccm_tanzania Majimbo 7, Chadema majimbo 3, Jimbo 1 uchaguzi haujafanyika

Uchaguzi katika Jimbo la Lulindi umeahirishwa baada ya kukosewa kwa jina la mgombea wa CUF katika karatasi ya kupigia kura

Nyumba ya aliyetangazwa mbunge mteule Jimbo la Tunduru Kaskazini Ramo Makani (CCM) imeshambuliwa

About Author

Advertisement

 
Top