NIJUZE NIJUZE Author
Title: UPDATESUCHAGUZI:: MATOKEO YA URAIS UCHAGUZI MKUU YALIYOTANGAZWA NA NEC LEO JIONI 28/10/2015
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
TAMKO KUTOKA NEC "Kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar hakutosababisha kuahirishwa au kufutwa kwa uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano"...
Tume ya Uchaguzi Tanzania Bara
TAMKO KUTOKA NEC "Kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar hakutosababisha kuahirishwa au kufutwa kwa uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano". Jaji Lubuva

Mwenyekiti wa @TumeYaUchaguzi Jaji Damian Lubuva akitoa tamko kwa wanahabari

MATOKEO YALIYOTOLEA LEO HII KWA NAFASI YA URAIS TANZANIA

Jimbo la Temeke Kura:237970
@MagufuliJP (CCM):106,612
@edwardlowassatz (Chadema):124,276

Jimbo la Bariadi Kura:148,423
@MagufuliJP (CCM):85,813 
@edwardlowassatz (Chadema):57,922

Jimbo la Mbarali Kura:105,810
@MagufuliJP (CCM):55,933 
@edwardlowassatz (Chadema):45,374

Jimbo la Kibiti Kura: 43,338
@MagufuliJP (CCM):21,142 
@edwardlowassatz (Chadema):18,629

Jimbo la Rufiji Kura: 41,607 
@MagufuliJP (CCM):21,714 
@edwardlowassatz (Chadema):18,308

Geita Mjini Kura: 70,374
@MagufuliJP (CCM): 43,576
@edwardlowassatz (Chadema): 25,030

Jimbo la Segerea Kura: 220,581 
@MagufuliJP (CCM):99168 
@edwardlowassatz (Chadema):119356

Dodoma Mjini Kura: 175,655
@MagufuliJP (CCM):110,634 
@edwardlowassatz (Chadema): 53,580

About Author

Advertisement

 
Top