RIHANNA AWAGUMZO TENA, CHEKI KIVAZI HICHI KILICHOWAVUTIA WATU NA KUGOMBANIA KUPIGA PICHA NAE
byUnknown-
0
Rihanna ameonekana kwenye mgahawa wa watu maarufu nchini Brazil akiwa amevalia Bra nyeusi na nguo ya ndani nyeusi huku gauni alilovaa likionyesha umbo lake lote kwa ndani. Mgahawa huu upo Rio, Brazil.