Unknown Unknown Author
Title: ORODHA YA VILABU VILIVYO TUMIA PESA NYINGI KATIKA USAJILI LIGI KUU NCHINI UINGEREZA HIVI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kipindi hiki cha usajili ndio kimevunja rekodi ya kutumia pesa nyingi zaidi ukiacha miaka iliyopita. Ishu ni kwamba usajili mkubwa haumaa...
rekodi
Kipindi hiki cha usajili ndio kimevunja rekodi ya kutumia pesa nyingi zaidi ukiacha miaka iliyopita. Ishu ni kwamba usajili mkubwa haumaanishi ndio ubingwa upo mezani, lakini kwa kiasi kikubwa inachangia.

Manchester city imefanya usajili wa nguvu sana na inaongoza kwenye hii list. Matunda ya usajili wao umeanza kuoneka mwanzo wa ligi na wamepata matokeo mazuri. Lakini ligi ya uingereza haiwezi kutabirika mapema tusubiri hadi hapo baadae.

Hii hapa ni list ya Club za EPL kwa pesa walizozitumia kwenye usajili. Listi imepangwa kutokana na net spend ambayo ni tofauti kati ya pesa zilizotumika toa pesa zilizopokewa.
Chat

About Author

Advertisement

 
Top