Unknown Unknown Author
Title: MGOMBEA MWENZA WA UKAWA APOKEWA NA UMATI WA WANANCHI KATIKA ZIARA YA KAMPENI MIKOA YA KUSINI, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa  amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampen...
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa 
amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea 
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea wa
ubunge jimbo la Lindi mjini ikupitia
CUF, Salum Barwani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili
mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea kadi ya CCM kutoka kwa bibi, Razina Mwandachi baada ya kujiunga na Ukawa na kukabidhiwa kadi ya CUF wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wafuasi wa Ukawa mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Wafuasi wa Ukawa wakisukuma gari la mgombea Mwenza wa Ukawa kupia Chadema, Juma Duni Haji baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Wafusi wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni zamgombea mwenza wa urais wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji uliofanyika katika uwanja wa Maulidi uliopo wilayani Nachingwea.
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi kupitia Chadema, Juma Duni Haji (kulia), akimtambulisha mgombea wa ubunge wa jimbo la Liwale kupitia CUF, Zubery Kuchauka wakati wa mkutano wa kampeni ulifanyika kwenye uwanja wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Kampeni UKAWA 2015
Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.

About Author

Advertisement

 
Top