Unknown Unknown Author
Title: MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ATAKA CHAMA HICHI KUACHA MARA MOJA SHUGHULI ZA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakat...
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo vinastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Emmanuel Kayuni.
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini
Mwanahabari wa gazeti la Nipashe, Theresia akiwa nyuma ya kamera wakati wa mkutano huo.
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo kwenye mkutano huo.
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

About Author

Advertisement

 
Top