Juma nature kwa sasa amerudi kufanya kampeni na chama cha mapinduzi CCM na ameamua kuelezea nia ya kurudi CCM baada ya mashabiki kumuona katika Majukwaa mengine ya vyama vya kisiasa.
Nature amesema kuwa mziki ambao anaufanya ni Biashara lakini pia anafanya kwa ajili ya Jamii yake ambayo inamzunguka na pia anaangalia sehem ambayo anakubalika ivyo akiitwa sehem yeyote kufanya kazi anaenda anafanya kazi maana mziki ndio ajira yake.

Sikilize hapa Juma Nature akiongea.......