Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAKIWA MJINI MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanj...
Kampeni za uchaguzi, CCM 2015
Mama Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Kampeni za uchaguzi, CCM 2015
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawalaKampeni za uchaguzi, CCM 2015Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawalaKampeni za uchaguzi, CCM 2015Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. John Pombe MagufuliKampeni za uchaguzi, CCM 2015Sehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawalaKampeni za uchaguzi, CCM 2015Sehemu ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Sehemu ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeniKampeni za uchaguzi, CCM 2015Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao. Kampeni za uchaguzi, CCM 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zakeKampeni za uchaguzi, CCM 2015Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani MorogoroKampeni za uchaguzi, CCM 2015Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubi maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.

Na.Mwandishi Wetu, Morogoro
Mmgombea Urais Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.John Magufuli amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu, Serikali yake itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji. Dk.Magufuli alitoa kauli hizo leo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Mkamba. Ruaha. Mikumi, Kilosa mjini pamoja na Morogoro mjini ikiwa ni sehemu ya kuomba ridhaa ya kuomba kichaguliwa urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Alisema kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na hivyo atapunguza bei saruji na bati na hilo litafanikiwa kwa kupunguza ushuru wa vifaa hivyo.
"Serikali ya Magufuli nataka iwe ya kurahisisha maisha ya wananchi wake.Moja ya mambo ambayo ninedhamiria kuyafanya ni kupunguza bei ya bati na saruji.Nataka kuona watu wanajenga nyumba nzuri na za kisasa, hivyo lazima tushushe bei ya vifaa vya ujenzi,alisema Dk.Magufuli".

Aliongeza kasi ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka hiyo anaiweza na anaomba wananchi wamuamini na ameomba urais kwa ajili ya kufanya kazi tu huku akieleza wapo ambao wanaosema anafanya siasa wajue yeye si mwanasiasa. ''Nataka kuwa Rais wa Tanzania na si uwenyekiti .Dhamira yangu ni kuwatumikia watanzania kwa kuleta maendeleo yakiwemo ya kuwa na makazi bora".
"Natambua nchi yetu ni tajiri sana na sasa utajiri huo utumike kuleta maendeleo ya wananchi na hili linawezekana kwenye serikali ya awamu ya tano," alisema Dk.Magufuli.

Alisema rasilimali za nchi hii zitumike kuleta maendeleo na ndio maana anataka nafasi hiyo kwa ajili ya kusimamia maendeleo ya wananchi wote. Wakati huo huo, Dk.Magufuli aliwataka wananchi kumchague yeye awe Rais kwa sababu hana tamaa ya fedha na ndio maana amaweza kusimamia vema fedha za wafadhili ambazo zilitumika kwenye ujenzi wa barabara.

Kwa upande mwingine alisema atasimamia amani ya nchi kwani ndio msingi wa maendeleo ya taifa letu na kuongeza shida ya watanzania si vyama vya siasa bali ni maendeleo yao.

Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akiteta jambo na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani MorogoroKampeni za uchaguzi, CCM 2015Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro.Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia tukio hilo.Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Wananchi wa kata ya Kimamba wakiwa wamekusanyka kwa wingi wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akijinadi kwao na kuomba ridhaa ya kuonza Tanzania katika awamu ya Tano.Kampeni za uchaguzi, CCM 2015Wasanii nyota vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCMKampeni za uchaguzi, CCM 2015WasaniiKampeni za uchaguzi, CCM 2015Sehemu ya wasanii vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCMKampeni za uchaguzi, CCM 2015Rais Kikwete akiongea na gharika ya wananchi wakati akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawalaKampeni za uchaguzi, CCM 2015Rais Kikwete akimnadi mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

About Author

Advertisement

 
Top