Unknown Unknown Author
Title: MEDA AJA NA WIMBO HUU MAALUMU KWA MTOTO WA DIAMOND "PRINCESS TIFFAH"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii kutoka Iringa, Meda ambaye wimbo wake ‘Barua kwa Diamond’ ulipata mapokezi mazuri amerejea tena na wimbo mwingine maalum kwa mtoto w...
Msanii kutoka Iringa, Meda ambaye wimbo wake ‘Barua kwa Diamond’ ulipata mapokezi mazuri amerejea tena na wimbo mwingine maalum kwa mtoto wa staa huyo, Tiffah.
‘Princess Tiffah’
Meda ameiambia Bongo5:
"Nimekuja na zawadi nyingine kwa mtoto wa Brother Diamond Platnumz na zawadi yenyewe ni wimbo ambao unaitwa ‘Princess Tiffah’ ambao nategemea kuutoa siku ambayo Tiffah ataonekana kwa mara ya kwanza. Itakuwa tarehe 20 September. Maana ya kutoa hii ngoma ni love nilinayo kwa Bro Diamond hata wimbo pia nilimtumia pia kwahiyo mashabiki wakae tayari kusikia zawadi hii ambayo nimemuandalia Princess Tiffah. Na huu ni pia ni ubunifu kama msanii kwa msanii ambaye anamkubali".

About Author

Advertisement

 
Top