Unknown Unknown Author
Title: LINDI WAONYESHA MAHABA YA DHATI KWA LOWASSA, WANACCM ZAIDI YA ELFU 3 WA JIMBO LA MTAMA WARUDISHA KADI NA KUJIUNGA UKAWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na...
Kampeni Ukawa 2015
Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili, Mkoani Lindi leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia Wananchi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akimueleza Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, changamoto mbalimbali za wananchi wa Lindi, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, akiwahutubia Wananchi wa Jimbo lake hilo, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Salum Barwany, katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Sehemu ya Wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, wakimshangilia Mgombea Ubunge wao, Salum Barwany, alipokuwa akihutubia na kukonga nyoyo zao kwa kugusa moja kwa moja changamoto zinazowakabili na namna watakavyoweza kuzitatua iwapo watapata ridhaa ya uongozi.
Kampeni Ukawa 2015
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Lindi Mjini, kabla ya kumkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Pilipili,Lindi Mjini, leo Septemba 23, 2015.
Uwanja wa Pilipili ulikuwa ni shangwe tupu, muda wote wa Mkutano.
Kampeni Ukawa 2015

Kampeni Ukawa 2015
Vijana wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi wakiishangilia Chopa anayoitumia Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, kawati ikiwasili kwenye eneo la Mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye wakionyesha kwa wananchi wa Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi, lundo la kadi za wanancha wa CCM zaidi ya elfu tatu (3000) walioamua kuunga mkono mabadiliko ya UKAWA, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Mtama leo Septemba 23, 2015.
Kampeni Ukawa 2015
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wakazi wa Jimbo la Mtama baadaya kufika jimboni hapo wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Soko la Majengo, Mtama leo Septemba 23, 2015. 

Kampeni Ukawa 2015

PICHA NA OTHMAN MICHUZI

About Author

Advertisement

 
Top