Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS:: MWENYEKITI WA KITONGOJI AJERUHIWA KWA RISASI NA ASKARI WA WANYAMA PORI WILAYANI LIWALE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mvumili Kata ya Kichonda wilayani Liwale Mkoani Lindi Bw Abillah Njonjo amejeruhiwa kwa risasi leo asubuhi B...
Liwale, Tanzania
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mvumili Kata ya Kichonda wilayani Liwale Mkoani Lindi Bw Abillah Njonjo amejeruhiwa kwa risasi leo asubuhi Baada ya kuhoji uhalali wa askari hao kufanya Upekuzi kwa wananchi bila Serikali ya Kijiji Hicho Kuwa na Taarifa.

Katika Tukio hilo Pia Mtendaji wa kijiji hicho Bw Juma Mikage nae alipokea Kipigo toka kwa Wananchi kwa madai yeye ndie alieleta askari hao kijijini.

Kwa sasa Mwenyekiti huyo amefikishwa katika Hospital Ya Ndanda mkoani Mtwara Kwa Matibabu Zaidi
Habari zaidi Tutawajuza..

About Author

Advertisement

 
Top