Unknown Unknown Author
Title: HII NDIO LIST YA MASHABIKI 10 WALIOTUMIA GHARAMA KUBWA KUJIBADILISHA MUONEKANO WAO ILI WAFANANE NA MASTAA HAWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kila shabiki wa mtu yeyote maarufu iwe kwenye muziki, mpira au movie anao uhuru wake wa kufanya kile kitu anachoona kinafaa ili kuweza kud...
Kila shabiki wa mtu yeyote maarufu iwe kwenye muziki, mpira au movie anao uhuru wake wa kufanya kile kitu anachoona kinafaa ili kuweza kudhihirisha mapenzi yake kwa yule staa anayemkubali.

Kuna wengine wameamua hata kutumia kiasi kikubwa cha pesa na kubadilisha miili yao ili kufanana na staa anayemkubali.

Nimekusogezea mashabiki 10 wa mastaa hawa ambao waliamua kutumia pesa zao ili kufanikiwa kufanana nao…


1. Donna Marie alitumia kiasi cha Euro 60,000 ili kufanana na Lady Gaga

2.Tobias Strebal alitumia kiasi cha dola 100,000 ili afanane na Justin Bieber

3. Miki Jay alitumia kiasi cha dola 16,000 ili afanane na Michael Jackson

4. Crystal alitumia kiasi cha dola 25,000 ili afanane na Britney Spears

5. Mapacha wawili Mike na Matt Schlepp walitumia kiasi cha Euro 50,000 ili wafanane na Brad Pitt

6. Jordan James alitumia zaidi ya dola 150,000 ili afanikiwe upasuaji wake na kufanana na Kim Kardashian

7. Georgina Clarke ametumia kiasi cha Euro 56,000 ili afanikiwe kufanana na Katie Prince

8. Adam Guerra alitumia kiasi cha dola 175,000 ili aweze kufanana na Madonna

9. Nadya Suleman alitumia kiasi cha dola 30,000 ili afanane na Angelina Jolie

10. Lissa Connel alitumia kiasi cha Euro 40,000 ili aweze kufanana na mwigizaji Demi Moore

Nimekuwekea na Video yake hapo chini..
Credit :: MillardAyo.com

About Author

Advertisement

 
Top