Mwigizaji wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper anaweza kuandika ukweli wa taarifa ya post yake aliyoitoa hapo awali kupitia akaunti yake ya Instagram kuwa yeye ni mama kijacho lakini amesema kuwa hiyo ilikuwa ni Utani na alidhamiria kuwapongeza Diamond na Zari kwa kumpata mtoto hivyo imetafsiriwa tofauti.
Home
»
HABARI ZA WASANII
» JACQUELINE WOLPER AIPIGIA MAGOTI MITANDAO YA KIJAMII, NI BAADA YA KUANDIKA POST YA MZAHA...KILICHOMTOKEA SASA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.