Unknown Unknown Author
Title: ICHEKI PICHA YA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ ALIYEZALIWA USIKU WA KUAMKIA LEO....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwimbaji wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anatambulika Afrika nzima Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamepokea habari nzuri usiku wa k...
Diamond and Zarina
Mwimbaji wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anatambulika Afrika nzima Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamepokea habari nzuri usiku wa kuamkia leo.

Diamond Alitufahamisha hivi kupitia Instagram “My mom’s face it’s enough to Express how i feell😍… Welcome to the world @princess_tiffah👼 >>> Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu😍… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘
Diamond and Zarina
Diamond and Zarina

About Author

Advertisement

 
Top