Kampuni kubwa ya usimamizi wa wasanii na kazi zao ya Rockstar4000 imeomba ipewe muda wa kuchunguza na kufuatilia tuhuma walizopewa za kuuza wimbo wa Diamond Platnumz ‘Number One’ bila kuwa na mkataba naye au meneja wake.
Malamiko haya yalitolewa na Road Manager wa Diamond Platnumz ‘Salaam’.
Jibu hilo limetolewa na afisa mahusiani wa Rockstar Lucy Ngongoteke, Dada Seven Mosha hakuwa tayari kuzungumzia issue hii.
Interview ilifanywa na Bongo5