MKUU WA MKOA WA LINDI MWANTUMU MAHIZA AFUNGUA MKUTANO WA MJADALA WA MKAKATI WA MAWASILIANO WA KITAIFA WA SEKTA YA MAFUTA NA GESI MKOANI MTWARA

Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza akifungua Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza akiwa sambamba na Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndg Yahaya E. Nawanda sambamba na Afisa Uhusiano wa Mafuta na Gesi ndg Badra Masoud kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakati wa kufungua Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Kamati ya Ulinzi na Usalama Lindi na Mtwara wakifuatilia kwa makini Mjadala unaoendelea hapa Mkoani Mtwara kujusiana na Majadiliano na matarajio ya Sekta ya Mafuta na Gesi, katika uundwaji wa Mkakati wa mawasiliano. Mkutano uliohusisha wanajamii. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Maafisa kutoka TPDC ndio watoa mada wakubwa katika Mkutano huu wa Majadiliano ya Matarajiao makubwa katika Sekta ya Mafuta na Gesi. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Wananchi waliopata mwaliko kuhudhuria mkutano huo wa Uundwaji wa Mkakati wa Mawasiliano wa Kitaifa wa Sekta ya Mafuta na Gesi Unaofanyika Mkoani Mtwara leo Tarehe 9/6/2015 (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Wanasiasa mbali mbali nao walikuwa Miongoni mwa Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali nchini wakifuatilia kwa makini Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo. (Picha na Fungwa Kilozo) 
Mkutano wa Mafuta na Gesi Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza akipongezwa na Mkuu wa wilaya ya Lindi Ndg  Yahaya E. Nawanda mara baada ya Kufungua Mkutano wa wanajamii kuhusiana na Uundwaji wa mkakati wa mawasiliano wa kitaifa wa sekta ya Mafuta na Gesi Nchini, Mkutano ambao umewakusanya wadau mbalimbali wa mikoa ya Lindi na Mtwara, Mkutano huo unafanyika Mkoani Mtwara hivi leo. (Picha na Fungwa Kilozo)
Previous Post Next Post