KIMENUKA TENA:: WEMA SEPETU KWENYE KASHFA NZITO YA KUIBA BOYFRIEND WA HUYU MSANII WA BONGO FLEVA

Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya brazil imekuja Tanzania kecheza na taifa stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea?
Wema sepetu
Wema akiwa katikapozi la kimallavidavi 

Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Lina Sanga, jana kupitia kipindi cha ala za roho cha clouds fm msanii Lina Sanga alifunga na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. 
Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.
Linah sanga
Linah Sanga akiwa na Boyfriend wake ambaye kwa sasa anatoka na Wema
Lina 'Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshuka na kuumia nisidanganye kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao'
 Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujaozito wa jamaa au hana.


Wema Sepetu nae amehadi kuja kutoa lake la moyoni
Previous Post Next Post