
Mh. Bernard Membe (mb) akiwa na Msanii wa Vichekesho vya Mizengwe katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi wakati alipowahutubia wananchi wa Mkoa huo nia yake ya Ugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake hicho. Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe (mb) akipeana Mkono na Msanii wa Bongo Moviewaliojitokeza kumuunga mkono katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi wakati alipowahutubia wananchi wa Mkoa huo nia yake ya Ugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake hicho. Picha na Fungwa Kilozo

Wasanii wa Bongo Movie wakiwasalimia wananchi waliojitokeza Kumsikiliza Mh. Bernard Membe wakati wa Kutangaza nia ya Kugombea Urais kupitia chama chake katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi. Picha na Fungwa Kilozo

Msanii wa Bongo Moview Steve Nyerere na Vicent Kigosi walikuwa miongooni mwa Wasanii waliofika katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi wakati Mh. Bernard Membe alipowahutubia wananchi wa Mkoa huo nia yake ya Ugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake hicho. Picha na Fungwa Kilozo

Msanii wa Bongo Moview Steve Nyerere akiwapa Burudani wananchi waliofika katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi wakati Mh. Bernard Membe alipowahutubia wananchi wa Mkoa huo nia yake ya Ugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake hicho. Picha na Fungwa Kilozo

Msanii wa Bongo Flava Peter Msechu alikuwa miongooni mwa Wasanii waliofika katika viwanja vya Makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani lindi wakati Mh. Bernard Membe alipowahutubia wananchi wa Mkoa huo nia yake ya Ugombea nafasi ya Urais kupitia chama chake hicho. Picha na Fungwa Kilozo

Tags
HABARI ZA WASANII