Baada ya ile Skendo ya kutoa maneno machafu juu ya Askofu mwenzake wa kanisa Katoliki Kadnali Pengo hadi kupelekea kufikishwa katika vyombo vya dola, Sasa arejea na hii ambapo sasa hivi askofu huyo amemvaa Spika wa Bunge na kusema kuwa Spika huyo japo hakuweza kumtaja kwa jina, lakini ukisikiliza kwa makini Bunge lililo kusudiiwa ni lile lenye wa Bunge wa Chama cha Mapinduzi sasa sijui ni lile la wawakilishi la zanzibar au ni hili la Jamhuri ya Tazanzia?
Askofu Gwajima amesikika akilalamikia juu ya Spika wa Bunge kushindwa kusikiliza Hoja binafsi iliyoletwa mbele ya Bunge hilo juu ya Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili lakini bila kupepesa macho Spika aliitupilia mbali Hoja hiyo na kutaka utaratibu wa kawaida uendelee, Kitu ambacho kimeonesha Kimemkera Askofu huyo hadi kufikia kuyatamka haya...:-

"Spika ni Non Sense, Bure kabisa. Huna haja ya Kunisamehe kama spika ni ndugu yako ukinichukia utakuwa uko halali, wabunge wanakuambia Mh. spika hali ya Hospitali ya Muhimbili ni mbaya tunaomba tuijadili kama dharula, Usipo jadili watu wanao kufa unataka ujadili nini sasa" Hayo ni baadhi ya Maneno ya Askofu huyo
Hebu pata wasaa wa kumsikiliza Askofu akinena juu ya Kero yake kwa Spika huyo::
Tags
HABARI ZA KITAIFA