MGOMBEA WA URAISI WA CCM KUJULIKANA JULAI 12

Nape Mnauye
MGOMBEA Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atajulikana Julai 12 mwaka huu baada ya kukamilisha mchakato mzima wa kuomba kuwania nafasi hiyo, kutafuta wadhamini na kujadiliwa katika chama hicho.
Previous Post Next Post