TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2015

Damian Lubuva.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015.
Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba;
Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.
Ratiba ya Uchaguzi 2015
Previous Post Next Post