JINAMIZI LA AJALI BADO LINAIANDAMA TANZANIA:: AJALI NYINGINE YAUA 3 NA KUJERUHI 15

Ajali MorogoroBasi la Nyagawa Express kutoka njombe limepata ajali na kupinduka eneo la Mwidu Morogoro. Katika ajali hiyo watu watatu wamepoteza maisha na majeruhi 15.
Ajali Morogoro
Previous Post Next Post