Unknown Unknown Author
Title: HATIMAE HEMEDY PHD KUTOBOA PUA KAMA HAWA MASTAA WA MTONII.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Rnb na Filamu Tanzania Hemedy Phd anafanya maamuzi mengine magumu kwenye maisha yake baada ya kufunguka kuwa anampango wa kutoboa...
Msanii wa Rnb na Filamu Tanzania Hemedy Phd anafanya maamuzi mengine magumu kwenye maisha yake baada ya kufunguka kuwa anampango wa kutoboa pua upande mmoja.
Hemedy PHD
“Baada ya kumaliza project za watu nilizonazo nitatoboa pua upande wa kulia, ni muonekano ninaotaka sasa, siwezi kufanya muda huu sababu ya kazi za watu, Kutoboa pua sio jambo baya kama limekubalika mbele hata hapa nyumbani litawezekana ” .

WASANII WA MTONII WALIOTOBOA PUA NI KAMA:-
Criss Brown
Criss Brown 
Miley Cyrus
Miley Cyrus 
2 PAC
2 Pac

About Author

Advertisement

 
Top