DAIMOND PLATNUMZ AWEKA WATU NJIA PANDA KWA POST HII, DUH MASHABIKI WABAKI NA KIU CHA KUFA MTU

Nyota wa muziki wa Bongo flabva nchini Tanzania, Diamond Platnumz anatarajia kuachia ngoma mpya ya kimataifa ambayo mpaka sasa haijajulikana kwani tayari ameshafanya collabo na wasanii watatu wa kimataifa akiwepo Flavour, P-Square na nyota wa Kimarekani.
Diamond Platnumz
Diamond ameshare picha ya fomu yakeya kutuma videoya wimbo wake ‘Nana’ ambayo ni collabo yake na Mr Flavour kwenda BET International, video iliyoongozwa na Godfather wa Afrika Kusini inayotarajiwa kutoka May 29, 2015.

Aidha meneja wa Diamond, Babu Tale amesema kuwa watanzania na mashabiki wa muziki wa Diamond wasubiri Ijumaaa ifike watajua kuwa ni collabo gani wataachia kwani tayari wamefanya collabo nyingi za kimataifa.
Previous Post Next Post