ANGALIA HAPA JINSI KHLOE KARDASHIAN ALIVYOWAKERA WATU INSTAGRAM, KISA NI PICHA HII HAPA AKIWA DUBAI.

Staa wa kipindi cha Keeping up with the Kardashian ‘Khloe Kardashian’ amekera waumini wa dini ya Kiislamu kwa kupiga picha akiwa amevalia Niqab, vazi ambalo huvaliwa na wanawake ilikuficha sura.
Khloe Kardashian
Khloe Kardashian aliweka picha hio aliyopiga alivyokuwa Dubai na familia yake na ujumbe uliosema “Habibi Love”

Watalii wanaotembelea Dubai hawaruhusiwi kuvaa hivyo au kufuata tamaduni hizo, comment moja ilisema “Women getting killed and beaten up for wearing the niqab, but you keep pretending it’s a fashion accessory, the disrespect,”

LV

Previous Post Next Post