HomeHABARI ZA KITAIFA WATU 9 WAKAMATWA WAKIWA NA VIFAA VYA MLIPUKO, MAJAMBIA NA VIFAA VYA KUFICHA NYUSO byUnknown -7:54:00 PM 0 Watu 9 wamekamatwa wakiwa wamejifungia kwenye msikiti wa Soni Morogoro wakiwa na vifaa vya milipuko hatari! Watu hao ni watanzania.Katika purukushani hizo polisi mmoja amenusurika kuuawa baada ya kukatwa na jambia shingoni. Tags HABARI ZA KITAIFA Facebook Twitter