WANAFUNZI WA CHUO CHA SAUTI - MWANZA WASHIKWA NA TAHARUKI BAADA YA KUMSHUKU MTU MMOJA KUWA ANATAKA KUWADHURU

sauti mwanza
Kadhia Hiyo Ilitokea Hapo Jana ambapo Inasemekana Kijana Mmoja mwenye asili ya kisomali anaesoma Chuoni hapo Kukoosea Darasa na Kuingia Darasa Lisilo lake na kusababisha Hali ya Taharuki kwa wanafunzi wenzake kwa kumdania vibaya.

Habari zilizotufukia kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo inasemekana kijana huyo aliingia darasani humo na kwa jinsi alivyovaa hawakuweza kumtambua kama ni mwenzao na walijitahidi kuuliza iliajitambulishe lakini hakuweza fanya Hivyo na ndipo wasi wasi wa uwepo wake darasani humo ulipo zidi kutia mashaka, Hali ya Taharuki ilitokea mara baada ya Mvulana huyo kuonekana anafungua begi lake.
sauti mwanza
Lakini Mtuhuyo aliweza Kudhibitiwa na Askari wa Chuo na Hivi sasa anashikiliwa kwa mahojiano zaidi:
sauti mwanza
Hebu Sikiliza Mkasa Mzima Hapa::-

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post