TANZIA EAST AFRICA:: MUFTI MKUU WA UGANDA SHEIKH SOWED KAYONGO AFARIKI DUNIA

Sheikh Sowedi Zubair KayongoMufti mkuu wa Uganda Sheikh Sowedi Zubair Kayongo amefariki dunia hii leo katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alikopelekwa kwa ajili ya matibabu. DW inaungana na Waislamu wa Uganda na Afrika Mashariki katika kuomboleza kifo cha kiongozi huyo wa dini. Sote ni wa Mola na kwake tutarejea. Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi, ameen.

LINDIYETU.COM TUNA UNGANA NA WAISLAMU WOTE WA UGANDA PAMOJA NA DUNIANI KOTE KUOMBOLEZA KIFO CHA MUFTI MKUU WA UGANDA SHEIKH SOWEDI ZUBAIR KAYONGO.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post