NAIMA WA DOGO ASLAY NDANI YA KASHFA NZITO YA KUMSHUSHA KIWAGO GOLKIPA WA SIMBA MANYIKA JR

Manyika jr na NaimaBaada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae haishiwi Skendo amehamia kwa Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..
dogo aslay na NaimaNaima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juuu
Manyika jr na NaimaPicha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao
Previous Post Next Post