HomeWATU MAARUFU HUYU NDIYE STAA WA RNB MWENYE MPANGO WA KUPUNGUZA MAKALIO YAKE, TAZAMA PICHA NA SABABU ZIKO HAPA byUnknown -7:07:00 PM 0 Wakati wanawake wengi wanafanya upasuaji kuongeza ukubwa wa makalio yao, msanii wa rnb K. Michelle amesema anampango wa kupunguza makalio yake.K Michelle aliwahi kukiri kuongeza makalio yake amemjibu shabiki twitter kuwa anapunguza makalio yake ili aweze kuigiza kwenye filamu mpya anayocheza.“Good for you! I’m about to decrease mine for a movie,” Tags WATU MAARUFU Facebook Twitter