CHELSEA NA MANCHESTER UNITED DIMBANI LIGI KUU YA ENGLAND HAPO KESHO

CHELSEA na MAN U
CHELSEA na MAN U dimbani Ligi kuu ya England

Ligi kuu ya ENGLAND-EPL inataraji kuendelea kesho. Moja kati ya mechi kubwazinazo subiriwa kwa hamu ni mchezo kati ya CHELSEA dhidi ya MANCHESTER UNITED katika dimba la STAFORD BRIDGE.

CHELSEA wapo katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi hiyo huku MAN U wakisaka matokeo yaliyobora kwao katika mbio zao za kukaa katika nafasi za juu.
 MANCHESTER UNITED
MAN U itawakosa wachezaji wake mahiri Michael Carrick, Daley Blind, Phil Jones & Marcos Rojo  ambao wanasumbuliwa na maumivu.

Hata hivi katika Msimu huu Manchester United wameonesha kiwango Bora hasa wanapokutana na Timu kubwa za juu na hii ndio rekodi yao hadi hivi sasa:-
Van Gaal Head to Head Record

Mbali na mchezo huo pia LEICHESTER CITY watavaana na SWANSEA, CRYSTAL PALACE wakicheza dhidi ya WESTBROM ALBION, EVERTON na BURNELY na STOKE CITY wakiwaalika SOUTHAMTOM

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post