Unknown Unknown Author
Title: JE KWA KAULI HII YA WEMA SEPETU NI DONGO KWA DIAMOND PLATNUMZ? SOMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wema amefunguka haya wakati wa mahojiano na Gardner G Habash wa kituo cha EFM, ameweza kuzungumzia ni namna gani anammiss Diamond. &quo...
Wema amefunguka haya wakati wa mahojiano na Gardner G Habash wa kituo cha EFM, ameweza kuzungumzia ni namna gani anammiss Diamond.
Wema Sepetu
"Unajuwa diamond ni mtu tuliyekaa nae miaka mingi sana hivyo kama binadam uwa natokea kummmiss sana".

Anaendelea... "Sometimes uwa naweka nyimbo zake kwenye gari langu sababu pamoja na yaliyo tokea mi ni shabiki na nimefall sana kwake... Najua kuna watu wataichukulia vibaya kwamba oooh oooh amemmiss amemmiss ila mimi nimeamua kuwa honest. Kuna kipindi inanitokea tu nammiss sana unajua kuna vitu tulishea na yale mazoea kwa kweli nammiss ata yeye najua ananimiss ila anajifanya tu.

Nilishawai kumtext lakini hakunijibu, lakini namjua mwenzangu mkishakaa mbali ana zile kupoteza moja kwa moja, unajua mimi sio mswahili na haya mambo kila mtu na IQ yake mimi ata tukiachana tutabaki marafiki ila mwingine unakuta tatizo sijui malezi au IQ sijui".

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu apate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.

Source : EFM na Gardner & Bikirawakisukuma

About Author

Advertisement

 
Top