VODACOM PREMIER LEAGUE CONTINUES TOMOROW. YANGA SC Vs JKT RUVU

Simon Msuva na Hamisi Tambwe
Ligi kuu Tanzania bara inataraji kuendelea hapo kesho, Vinara wa ligi hiyo timu ya Yanga SC itashuka dimbani majira ya saa 10:00 alasiri kuwakabili JKT RUVU katika dimba la uwanja wa taifa.
Yanga watamkosa mchezaji aliye kwenye fomu kwa sasa Amiss Tambwe ambaye anatumikia adhabu ya kadi 3 za njano!
Bila shaka pengo lake litazibwa na yeyote kati ya hawa kpah sherman,jerryson tegete,hussein Javu ama Danny Mrwanda.

**********************************
Vodacom Premier League continue tomorrow, The top league team SC Yanga joins the match at 10:00 pm confront JKT Ruvu at the national stadium.
Yanga will offender player who is in the form currently Amiss Tambwe, who is serving a penalty of 3 yellow cards!
Of course his gap will be covered by any of these kpah Sherman, jerryson Tegete, you ssein Javu or Danny Rwanda.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post