VIDEO:: FILAM MPYA YA WEMA SEPETU NA VAN VICKER IMEKAMILIKA, ICHEKI HAPA

Filamu ya ushirikiano kati ya muigizaji wa Tanzania Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana Van Vicker iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imekamilika.
Wema Sepetu na Van Vicker
Filamu hiyo iitwayo ‘Day After Death’ (D.A.D) imeongozwa na Van Vicker kupitia kampuni ya Sky+Orange productions na Endless Fame Production ya Tanzania.

Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa mwaka jana alisafiri kwenda nchini Ghana kutengeneza filamu hiyo, ameweka trailer ya filamu hiyo kupitia Instagram yake:
#DAD movie The long wait is over. The much anticipated COLLABORATION (Ghana- Sky+Orange productions & Tanzania- Endless Fame Production) trailer of D.A.D (Day After Death) is out. Starring @wemasepetu & @iam_vanvicker #sky+orangeproductions #endlessfameproduction ##weRmovies&moviesRus #mylife #mysuccessstory”
Tazama trailer ya filamu hiyo:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post