
Muigizaji Wema Sepetu amesema mitandao ya kijamii inanafasi kubwa katika maisha yake hasa katika maswala ya utangazaji na kutolea mfano mtandao wa Instagram na kusema, umerahisisha kazi kutokana na kutumiwa sana katika matangazo, yeye ameweza kujua maduka mengi na vitu vingi kupitia mtandao huo na endapo mtu akitaka apost kazi yake kwenye page yake ni kama Dola 1000 (elfu moja) au 2000 (elfu mbili) lakini inategemea na makubaliano.
Tags
WATU MAARUFU