UKATILI:: MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AUWAWA KIKATILI, ANYOFOLEWA KICHWA-KONDOA

Lindiyetu Blog News
Taarifa zilizofika katika dawati letu la Habari zinaeleza kuwa mtoto wa darasa la saba ambaye jinalake halikuweza kufahamika mara moja, ameuwawa kwa kuchinjwa na kuondolewa sehemu ya kichwa chake. Mwanafunzi huyo inasmekana alikua katika harakati za kuchunga mifugo.
Wakatili hao wameondoka na kichwa hicho na baadhi ya viungo. Tukio hilo limetokea Mjini Kondoa.
Maiti

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post