PICHA ZA WEMA NA IDRIS ZAZUA GUMZO KUBWA MTANDAONI, ZIPO HAPA

Wema Sepetu na Idris SultanPicha za Mastaa hawa wawili Wema Sepetu na Idris Sultan wakiwa kwenye mapozi matata zimekuwa gumzo mtandaoni huku wakiwa kwenye Maeneo Yanayoonekana kama Supermarket.
Wema Sepetu na Idris SultanJe unadhani Kuna kitu kinachoendelea Au Ni Kawaida tu ??

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post