Unknown Unknown Author
Title: MKALI WA HIP HOP TANZANIA NAY WA MITEGO AZITETEA VIDEO ZISIZO NA MAADILI, CHEKI PICHA HIZI ZA VIDEO YAKE MPYA...NI SHEEEDAH...!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika hali ya kushangaza msanii wa Bongo Hip Hop,Nay Wa Mitego ametetea video ambazo hazina maadili zinazoonyesha wasichana wakiwa nusu...
Nay Wa mitego new video
Katika hali ya kushangaza msanii wa Bongo Hip Hop,Nay Wa Mitego ametetea video ambazo hazina maadili zinazoonyesha wasichana wakiwa nusu utupu.

Picha kadhaa zimevuja kwenye mitandao ya kijamii zikumuonyesha msanii huyo akiwa kimahaba na msichana kitandani zikimaanisha kuwa kuna video yake mpya inakuja.
Nay Wa mitego new video
‘’Yaah hizo picha ni za video yangu mpya ambayo itatoka hivi karibuni na kuhusu kwamba haina maadili mimi sijali na watu hajajua kama video za namna hizo zinalipa kibiashara na lazima twende na wakati mbona video za nje ambazo hazina maadili zinaonyeshwa hapa nyumbani? Alihoji Nay.
Nay Wa mitego new video
Akizungumzia kama BASATA wakiifungia video hiyo wakati ametumia gharama kubwa alisema kuwa hajali kwa lolote ila yeye yuko tayari kwa lolote.

Video hiyo ambayo itatoka hivi karibuni inaitwa ‘only one’.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top