Wachezaji wa Timu ya Timbaland Fc kutoka Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi wakishangilia Goli la Kwanza na La ushindi katika Mchezo wa Ligi daraja la Tatu Ngazi ya Mkoa uliochezwa hivi leo katika Dimba la Ilulu Stadium, Timbaland ilishinda 1 - 0 dhidi ya Transporter ya kutoka wilaya ya Kilwa.

Mashabiki wa Timu ya Timberland Kutoka Wilaya ya Nachingwea wakishangilia kinamna yake Ndani ya Uwanja wa Ilulu wakati wa Mchezo wao dhidi ya Transporter ya Kilwa.

Beki wa Timbaland akihakikisha Mshambuliaji wa Tranporter (mwenye jezi ya blue) Haleti madhala yoyote, leo katika Mechi ya Ligi daraja la Tatu Ngazi ya Mkoa katika uliochezwa ndani ya Uwanja wa Ilulu.

Bechi la Ufundi la Timu ya Tranporter ya Kilwa likiwa haliamini kitu kilichotokea uwanjani hapo mara baada ya Kupoteza Mchezo wao wa Kwanza wa fungua dimba Ligi daraja la Tatu Ngazi ya Mkoa uliochezwa hivi leo katika Dimba la Ilulu.
Hapo kesho Mechi zitakazochezwa ni
Market Fc (lindi mjini) Vs Bafana Bafana (Rutamba)
Tags
SPORTS NEWS