Ghana walitapata Bao la Kwanza Dakika ya 4 kufuatia kazi njema ya Andre Ayew alipoikamata pasi safi ya Kwesi Appiah na kutoa pasi ya kisigino kwa Christian Atsu
aliefunga.
Bao la Pili la Ghana lilifungwa na Kwesi Appiah katika Dakika ya 44 baada ya makosa makubwa ya Beki wa Guinea Fofana.
Hadi Mapumziko, Ghana 2 Guinea 0.

Kipindi cha Pili, Dakika ya 61, Christian Atsu alifunga Bao lake la pili kwenye Mechi na kuipa Ghana ushindi wa Bao 3-0 na kuifikisha Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya 5 mfululizo.
Kwenye Nusu Fainali Ghana itawavaa Wenyeji Equatorial Guinea.
Baadae Leo, Robo Fainali zitakamilika kwa Mechi kati ya Ivory Coast na Algeria huko Nuevo Estadio de Malabo Mjini Malabo.
VIKOSI: GUINEA (Mfumo 4-5-1): N. Yattara; Cisse, Sankoh, F. Camara, Paye; Traore, Conte, Fofana, Constant, A. Camara; Idrissa Sylla
GHANA (Mfumo 4-4-2): Brimah; Afful, Boye, Mensah, Baba; Atsu, Acquah, Mubarak, Andre Ayew; Asamoah Gyan, Appiah
REFA: J. Sikazwe [Zambia]
AFCON 2015:: RATIBA/MATOKEO:
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 31
Congo 2 Congo DR 4
Tunisia 1 Equatorial Guinea 2
Jumapili Februari 1
Ghana 3 Guinea 0
2200 Ivory Coast v Algeria [Nuevo Estadio de Malabo]
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 4
2200 Congo DR v Ivory Coast/Algeria [Estadio de Bata]=NF1
Alhamisi Februari 5
2200 Equatorial Guinea v Ghana [Nuevo Estadio de Malabo]=NF2
MSHINDI WA 3
Jumamosi Februari 7
2100 Aliefungwa NF1 v Aliefungwa NF2 [Nuevo Estadio de Malabo]
FAINALI
Jumapili Februari 8
2200 Mshindi NF1 v Mshindi NF2 [Estadio de Bata]

Tags
SPORTS NEWS