WHATSAPP PLUS YARUDI TENA NA "ANTIBAN" SASA HUEZI KUA "BANNED" TENA...SOMA ZAIDI HAPA

WhatsApp Plus
Baada ya siku kadhaa zoezi la ku ban watumiaji wa WhatsApp Plus lililofanywa na kampuni ya WhatsApp inayo milikiwa na Mark Zuckerberg, kumeibuka ushindani mkubwa kwa madeveloper ambao walikua wakii redesign WhatsApp hiyo kuamua kuisuka upya na kuweka option ya kutoweza kuwa Banned tena kwa watumiaji wake hao wa WhatsAp Plus.
Hata hivyo, ili kuweza kuitumia WhatsApp Plus hiyo ya Anti Ban kama umeshakuwa Banned ni kusubiria hadi mda wako wa kuwa banned kuisha kisha kuii install hiyo WhatsApp Plus mpya ya Anti Ban.
WhatsApp PlusDownload WhatsApp Plus ReBorn 1.00 No Anti Ban:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post