Unknown Unknown Author
Title: UKATILI..!!! MKE AMWAGIWA MAJI YAMOTO NA MUMEWE KISA MUHINDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha ya mwanamke aliyemwagiwa maji ya moto Wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa kikilipot...
ukatili wa kijinsia
Picha ya mwanamke aliyemwagiwa maji ya moto
Wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya moto ya kusongea ugali na mumewe kisa kikilipotiwa kuwa alichuma mahindi mawili katika shamba lao bila ruhusa ya mumewe, hivi sasa mwanamke huyo amelazwa katika hospitari ya musoma kwa matibabu na mtuhumiwa ametoweka.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top