Unknown Unknown Author
Title: ETI KWELI WANAOPENDA UPIGAJI "SELFIE" WANATABIA HIZI? HEBU ZISOME KISHA NIAMBIE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Mji wa Ohio nchini Marekani unaohusiana na athari zinazosababishwa na kupiga picha Binafsi “ Selfie ”...
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Mji wa Ohio nchini Marekani unaohusiana na athari zinazosababishwa na kupiga picha Binafsi “Selfie” na kuweka kwenye mitandao tofauti  umegundua tabia ya watu hao. Watu waliofanyiwa utafiti huu ni 800 na wenye umri kati ya miaka 18 na 40.
Utafiti umeonyesha kuwa wanaopenda kujipiga Selfie wakiwa peke yao wanakuwa na tabia ya ubinafsi zaidi na hawapendi kujichanganya na watu wengine wala kwenda sehemu zenye watu wengi mara nyingi.

Watu hao pia wana tabia ya kurekebisha “Edit” picha kabla hawajaiweka kwenye mtandao wanaotumia, pia watu hawa hutumia muda mwingi kuchunguza na kuchagua picha gan ni bora zaidi kuiweka.
We unayepiga Selfie ni kweli unatabia hizi ?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top