
Mashabiki waliotoa mitazamo yao kuhusu twit zake imeonyesha kuwa zinamlenga Ali Kiba na kilichotokea back stage sehemu waliokuwa wamekaa wasanii.
Pia twit nyingine ilizungumzia mashabiki kumsaliti msanii moja baada ya Diamond kurusha pesa.


Tags
HABARI ZA WASANII