Unknown Unknown Author
Title: MWANAFUNZI KIDATO CHA PILI AJIFUNGUA KWENYE DALA DALA, NI BAADA YA KUMEZA DAWA ZA KUTOA MIMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanafunzi wa Shule moja ya sekondari Jijini Dar es Salaam kajifungua kwenye daladala Maeneo ya azizi ally baada ya kumeza dawa za kutoa...
denti atoa mimba
Mwanafunzi wa Shule moja ya sekondari Jijini Dar es Salaam kajifungua kwenye daladala Maeneo ya azizi ally baada ya kumeza dawa za kutoa mimba, 
Kwa lugha nyingine Tunaweza kusema mwanafunzi huyo amefanya Abortion kwani Kichanga hicho kinakadiriwa kuwa na Miezi mitatu au Minne hivi.
mwanafunzi huyo inasemekana anasoma kidato cha pili katika Moja ya shule Jijini Dar....
HABARI ZAIDI TUTAWAJUZA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top