MTAMBO WA KUZALISHA UMEME WAWAKA MOTO LEO MCHANA

Mtambo Mgololo Mkoani Iringa wawaka motoTransfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla.
Chanzo kilichopelekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.
Mtambo Mgololo Mkoani Iringa wawaka moto

Mtambo Mgololo Mkoani Iringa wawaka motoWashuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.

Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo. Endelea Kuwa nasi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post